Fanikisha NDOTO ZAKO ukiwa na Bluetick Education Insurance
Bluetick inakuletea bima ya elimu inayolenga kutoa uhakika wa elimu bora kwa watoto wako kwa bei nafuu. Kwa kununua bima hii, unahakikisha kuwa ndoto za mtoto wako za kusoma zinatimia bila vikwazo vya kifedha.
Faida za Bima ya Elimu ya Bluetick:
- Bei Nafuu: Pata bima ya elimu kwa gharama nafuu inayokidhi bajeti yako.
- Uhakika wa Elimu: Hakikisha mtoto wako anapata elimu bila kusumbuliwa na changamoto za kifedha.
- Msaada wa Haraka: Huduma bora na ya haraka pale unapohitaji msaada.
Vigezo
Barua Ya Mtendaji
Category :
Education InsuaranceAdvertise Here
Call USCategories
Popular Loans
-
Viwanja kigamboni Kimbiji (beach plots)
1 - 36 Month -
Umeharibikiwa na gari?
1 Year